Hatari ya narcosis


Katika Hospitali hii maalum kwa watoto ”Astrid Lindgrens Barnsjukhus” kwa mwaka , watoto wa umri wa miaka 0 – 18 ,idadi ya wastani, 6 500 wanahitaji kutiliwa usingizi na ganzi kwa njia ya narcosis.

Mara nyingi zaidi haina mashaka yo yote, ila pengine inatakiwa uangalifu zaidi na maandalizi maalum.Hapa wanashirikiswa madaktari bingwa ya fani tofauti.

Mazoea na maendeleo yahusu vifaa, dawa, utaratibu wa kutenda kazi na ujuzi imepunguza hatari ya narcosis kabisa. Usalama ni kubwa sana siku hizi.

Utaratibu kwa kuhakikisha apumue viziri, apate utamu wa hewa (oxygen) ya kutosha na moyo kufanya kazi kawaida, pamoja na maandalizi kabla ya narcosis ni hatua katika kufikia hali hiyo ya usalama.

Ukiwa na maswali mengine kuhusu narcosis, daktari bingwa ataweza kueleza kinagaubaga.

//Search

twitter icon

Astrid Lindgren Children´s Hospital | Karolinska University Hospital 171 76 Stockholm


© Karolinska University Hospital

mail
Logotype